simu inauzwa

mdachi mdachi

Senior Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
118
Reaction score
138
jamaan nauza simu aina ya itel.

ni mpya nmenunua haijafikisha hata week moja toka niinunue na risit ipo.

ni s31

ina GB 16

bei ni 170,000/=

anayehitaji anichek kwa hii namba
0757785883

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do Itel phone ina MB 16, hiyo bando au RAM. Mi naona utulie nayo tu hujamaliza week unaiza vp, Garasha nini
 
Hawa itel wapuuzi sana/wanazarau sana simu kubwa hivyo ina Mb 16, kaka ulipewa zawadi au ulinunua mwenyewe
 
Mb16 rudia vizuri kusoma specifications za cm yako
 
Mb16 rudia vizuri kusoma specifications za cm yako
ameshasema mb 16! wewe unataka sasa atudanganye ni gb 16! bora kasema ukweli huyo! inamaana hiyo cmu ni kwa kupiga na kupigiwa hakuna haja ya ma whatsap na mengineyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…