Mathew C Malunde
Member
- May 16, 2023
- 30
- 32
Mathew C Malunde mdau ana hoja nenda settings - APNs unachange kwenye access point names unaweka halotel na chini yake halotel internetfanya ufunguzi wa APN.
Haikamati network ya kawaida ukiweka laini ni No serviceMathew C Malunde mdau ana hoja nenda settings - APNs unachange kwenye access point names unaweka halotel na chini yake halotel internet
Nikajua internet ,ni simu gani hiyoHaikamati network ya kawaida ukiweka laini ni No service
Infinix smart 6Nikajua internet ,ni simu gani hiyo
Weka laini afu nenda kwenye Mobile Networks afu kwenye profile ya laini ya Halotel angalia network mode ikoje? 2G Only, 3G Only au 4G/LTE Only? Change weka Auto uone matokeo kama itakua bado tatizo angalia IMEI numbers kama ziko clean na genuine hajizafanyiwa UBATIZO na wahuni.., Au kama uliwahi kuiflash basi huenda NVRAM ime corrupt hii huwa ni partition ndogo sana kwenye ROM ya simu na ndo huwa imebeba configurations za network na IMEI kwenye ROM ikizingua tu basi tatzo simu inakua inashika network mjini tu..Habari wadau,
Nina simu ni almost mpya lakini ina tatizo haikamati network laini yoyote ya Halotel msaada tafadhali.
Aina ya simu ni Infinix Smart 6.