me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Sep 21, 2017 #1 Habari wakuu, Inatafutwa iphone mpya au used yenye condition nzuri. Iwe kuanzia iphone six na kuendelea, storage size yoyote na muuzaji awe ndo mmiliki halisi wa hiyo simu (kwa uthibitisho) Kama kuna anae-meet hayo matakwa karibu tufanye biashara.
Habari wakuu, Inatafutwa iphone mpya au used yenye condition nzuri. Iwe kuanzia iphone six na kuendelea, storage size yoyote na muuzaji awe ndo mmiliki halisi wa hiyo simu (kwa uthibitisho) Kama kuna anae-meet hayo matakwa karibu tufanye biashara.
tajiri2018 Member Joined Aug 4, 2017 Posts 13 Reaction score 5 Sep 21, 2017 #2 Una bei gan mkuu nin 6
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,206 Reaction score 7,358 Sep 21, 2017 #3 Offer yako ngap?? Na upo wap??
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,902 Reaction score 15,674 Sep 21, 2017 #4 Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative
Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Sep 21, 2017 Thread starter #5 Allency said: Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative Click to expand... Hapana mkuu, ahsante.
Allency said: Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative Click to expand... Hapana mkuu, ahsante.
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Sep 21, 2017 Thread starter #6 tajiri2018 said: Una bei gan mkuu nin 6 Click to expand... Njoo chamber tujadiliane mkuu. Muhimu zaidi ni usiwe dalali... utaniudhi.
tajiri2018 said: Una bei gan mkuu nin 6 Click to expand... Njoo chamber tujadiliane mkuu. Muhimu zaidi ni usiwe dalali... utaniudhi.
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Sep 21, 2017 Thread starter #7 kilambimkwidu said: Offer yako ngap?? Na upo wap?? Click to expand... Niko Dar, offer itategemea hali ya simu, storage na aina (6,6+,6s, 7 etc) Si-entertain madalali kabisa mkuu.
kilambimkwidu said: Offer yako ngap?? Na upo wap?? Click to expand... Niko Dar, offer itategemea hali ya simu, storage na aina (6,6+,6s, 7 etc) Si-entertain madalali kabisa mkuu.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Sep 21, 2017 #9 Lata milion 1 nikupe i6s, 64Gb free off scratches
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Sep 21, 2017 Thread starter #10 Jerrymsigwa said: Lata milion 1 nikupe i6s, 64Gb free off scratches Click to expand... Ina muda gani mkononi mwako? Naweza pata picha kadhaa pm?
Jerrymsigwa said: Lata milion 1 nikupe i6s, 64Gb free off scratches Click to expand... Ina muda gani mkononi mwako? Naweza pata picha kadhaa pm?
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,206 Reaction score 7,358 Sep 21, 2017 #11 me1 said: Niko Dar, offer itategemea hali ya simu, storage na aina (6,6+,6s, 7 etc) Si-entertain madalali kabisa mkuu. Click to expand... Madalali unajua maana yake??? Ukiskia neno OFFER bas unajua kuna dalali kaingia hapo kati....wabongo bwn
me1 said: Niko Dar, offer itategemea hali ya simu, storage na aina (6,6+,6s, 7 etc) Si-entertain madalali kabisa mkuu. Click to expand... Madalali unajua maana yake??? Ukiskia neno OFFER bas unajua kuna dalali kaingia hapo kati....wabongo bwn
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,932 Sep 21, 2017 #12 Kua makini zaid ya unavyofikiria, Ukicheza kidg tuu sero inakuhusu, mm n mhanga wa hilo in the same way.
Kua makini zaid ya unavyofikiria, Ukicheza kidg tuu sero inakuhusu, mm n mhanga wa hilo in the same way.
J jojipoji koromije JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 1,127 Reaction score 1,634 Sep 21, 2017 #13 Nina IPhone 6s Plus . Ni yangu mwenyewe, haina shida, haina hata scratch. 64GB, 4HD screen protector . Nipe 1.5M
Nina IPhone 6s Plus . Ni yangu mwenyewe, haina shida, haina hata scratch. 64GB, 4HD screen protector . Nipe 1.5M
alexis jr JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 391 Reaction score 343 Sep 22, 2017 #14 Allency said: Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative Click to expand... mkuu iphone 5s hio sh ngapi ??
Allency said: Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative Click to expand... mkuu iphone 5s hio sh ngapi ??
toroka uje mjini JF-Expert Member Joined Mar 29, 2017 Posts 1,584 Reaction score 2,116 Sep 22, 2017 #15 Allency said: Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative Click to expand... Mkuu hio 5s unaitakia ngapi??
Allency said: Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative Click to expand... Mkuu hio 5s unaitakia ngapi??
Z Ze observer JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 233 Reaction score 493 Sep 22, 2017 #16 Ipo iPhone 6 s plus - ina miezi 3 njoo tuongee
Kabaizer JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 504 Reaction score 64 Sep 22, 2017 #17 nna iphone nimeitumia mwez mmoja mpya inakilakitu chake ni 6s ukinipa 9laki nakupa na nakupeleka mpaka dukani niliponunulia.
nna iphone nimeitumia mwez mmoja mpya inakilakitu chake ni 6s ukinipa 9laki nakupa na nakupeleka mpaka dukani niliponunulia.
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,150 Sep 22, 2017 #18 Mkuu unabahati mbaya juzi tu nimeiuza iphone 6s yangu kwa laki 6 tu..na nilinunua mwezi wa pili kwa wakala wenyewe wa iphone nimempa jamaa na box yake na earphone zake..nikaongezea hela kiasi ndio nimeagiza Iphone X
Mkuu unabahati mbaya juzi tu nimeiuza iphone 6s yangu kwa laki 6 tu..na nilinunua mwezi wa pili kwa wakala wenyewe wa iphone nimempa jamaa na box yake na earphone zake..nikaongezea hela kiasi ndio nimeagiza Iphone X
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,150 Sep 22, 2017 #19 Nakushauri ukitaka simu used ingia App ya kupatana hapo dar utazikimbia hizo na bei ta kutupa na sio za wizi
Nakushauri ukitaka simu used ingia App ya kupatana hapo dar utazikimbia hizo na bei ta kutupa na sio za wizi
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,902 Reaction score 15,674 Sep 22, 2017 #20 toroka uje mjini said: Mkuu hio 5s unaitakia ngapi?? Click to expand... Hii inakwenda kwa 340000