Maafande fanyeni kazi...acheni siasa. Alafu povu la nini!??Unaandika hivyo huku ukijua utalala na jeshi la police wakikulinda ili uwe salama, toa Mbinu za kupambana na majambazi na sio kibeza kazi ngumu waitanyayo maasikari
Uwe na adabu kidogo, Wakati huohuo majambazi yakianza kuadabishwa unakimbilia hapa tena kusema majambazi eti yakamatwe yapelekwe mahakamani, utalikamataje jitu lenye siraha??
Mnalamaana bhana!!
Nakubaliana nawe ujambazi ni koneksheni hakuna umalaika wa kuweza kuotea mtu Fulani ana fedha, lakini ni muhimu endapo kama unahusika na maswala ya kifedha ukatumia zaidi mitandao,pia wanaohusika na mitandao washushe rates za kutolea fedha,rates zinaumiza kweli kweli,Ujambazi ni connection sidhani kama polisi hawawajui jambazi...
Ni wao na marafiki zao. Wanakula bakuli moja.Polisi wanajua majambazi ila wanakaa kimya.
"I wish I could be IGP" JPM..
Ni Siro aliyeambiwa I wish I could be IGP au ni Ernest Mangu?Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"...
"I wish I could be IGP" JPM..
Furthermore, siyo majambazi wote walifuatilia hiyo dialogue(interview)Wewe una silaha gani hapo kwako . Zaidi ya kisu cha kukatia nyanya..