data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,032
- 22,556
Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"...
Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi amekudhalilisha...amekudharau na anaingilia mamlaka. Tulikuonea huruma.
Kumbe hukustahili kuonewa huruma hata kidogo. Ukiwa ktk kipindi cha dk 45 ITV na Farhia..
Ulisema hivi... " watanzania wawe na silaha majumbani mwao... Wajilinde. Na sio kuwa tu na masofa na maTV ndani"
Mtangazaji akakuuliza unamaanisha watu wachukue sheria mikononi... Ukajibu kwa kusisitiza... "kabisa kabisa"
Sasa unaona yanayotokea... Majamba sasa yanatuwahi.. Yao yana silaha za moto.. Sisi tuna mapanga. Umeona shida uliyotuletea.
Alafu umebaki una haha. Yani hujui nini ufanye. Alafu bado upo ofisini.!?
Rais Samia muondoe huyu mtu haraka.
"I wish I could be IGP" JPM..