Haiwezekan, mmiliki wa laini ya simu ndio inabidi taarifa ziwe kwenye laini hiyo na sio taarifa zako ... Kama mtu anahitaji kuwa wakala inabidi aende mwenyewe akasanili laini ya uwakala.
Nimeshuhudua watu wengi wakipoteza mitaji Yao ya maaana kwa kupoteza laini zao za uwakala zisizo na taarifa zao. Issue inakuja kwenye kurenew hiyo laini...