Acheni uzushi...watanzania ni watu wa ajabu sana ..mnapoteza muda mwingi kulumbana ktk mambo ya kipumbavu na kijinga...mtu amshasema mwenyewe na wengine tumefanya uchunguzi wa kina sio kweli mheshimiwa kupatwa na tukio lile....siye yeye ila kuna mfanyabia ndiye alipatwa na tukio na amefanana naye,na pia hata yeye afikia hapo hotelini...mmezusha na kuzusha kila pembe ya nchi ili iweje sasa...na umeata kitu gani kwa uzushi usio na maana???? acheni Ujinga