Naunga mkono hoja, viongozi msikubali hili bonanza likatupotezea muda wa kuaandaa timu yetu Kwa ajili kwenda kunyakua kombe la club bingwa Afrika.Klabu ya Simba SC imepanga kujitoa kwenye michuano ya Kagame Cup yanayotarajia kufanyika July 07 hadi July 21 nchini Rwanda. Ceo wa klabu hiyo Crescentus Magori amesema watapeleka barua rasmi kwenye Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kuwajulisha kutoshiriki mashindano hayo kwa sababu za kiufundi.
.
Magori amesema iwapo watashiriki mashindano hayo hawatapata muda wa kuweka kambi nje ya nchi kwa sababu mashindano hayo yanaisha July 21 na mashindano ya Afrika Caf Champions League raundi ya awali yataanza August 9-11 mechi za mkondo wa kwanza na August 23-25 mechi za mkondo wa pili na ligi kuu Tanzania Bara itaanza mwishoni mwa mwezi wa nane (August)
.
Mechi za raundi ya Kwanza za Caf Champions League zitaanza September 13-15 na mechi za mkondo wa pili raundi ya kwanza zitachezwa September 27-29. Magori amedai kutokana na sababu za kubadilika kwa ratiba ya CAF, michuano ya Afcon yatakayofanyika Misri itakuwa ngumu kwa klabu ya Simba kushiriki mashindano ya Kagame Cup. Simba inatarajia kwenda kuweka kambi ya mwezi mmoja nje ya nchi kujiandaa na msimu wa 2019/20.
Naunga mkono hoja, viongozi msikubali hili bonanza likatupotezea muda wa kuaandaa timu yetu Kwa ajili kwenda kunyakua kombe la club bingwa Afrika.
Wakigombaa Sana maana bila Simba mashindano hayanogi basi wapelekeni Simba queen, hao chura wakachakazwa na Simba queen mpaka wachakaee!
Wakigomaa pelekeni under17.
Tuko bize kuiwakilisha na kuiletea nchi heshima eboo!
Naunga mkono hoja pia ikibidi na mapinduzi cup waipotezeeNaunga mkono hoja, viongozi msikubali hili bonanza likatupotezea muda wa kuaandaa timu yetu Kwa ajili kwenda kunyakua kombe la club bingwa Afrika.
Wakigombaa Sana maana bila Simba mashindano hayanogi basi wapelekeni Simba queen, hao chura wakachakazwa na Simba queen mpaka wachakaee!
Wakigomaa pelekeni under17.
Tuko bize kuiwakilisha na kuiletea nchi heshima eboo!
Masikini akipata......😂😂😂 (Natania tu)Nyie si ndio mlikuwa mnajivunia kuwa ndio mabingwa wa kihistoria wa hilo Kombe, sasa hivi limekuwa kombe la mbuzi
Klabu ya Simba SC imepanga kujitoa kwenye michuano ya Kagame Cup yanayotarajia kufanyika July 07 hadi July 21 nchini Rwanda. Ceo wa klabu hiyo Crescentus Magori amesema watapeleka barua rasmi kwenye Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kuwajulisha kutoshiriki mashindano hayo kwa sababu za kiufundi.
.
Magori amesema iwapo watashiriki mashindano hayo hawatapata muda wa kuweka kambi nje ya nchi kwa sababu mashindano hayo yanaisha July 21 na mashindano ya Afrika Caf Champions League raundi ya awali yataanza August 9-11 mechi za mkondo wa kwanza na August 23-25 mechi za mkondo wa pili na ligi kuu Tanzania Bara itaanza mwishoni mwa mwezi wa nane (August)
.
Mechi za raundi ya Kwanza za Caf Champions League zitaanza September 13-15 na mechi za mkondo wa pili raundi ya kwanza zitachezwa September 27-29. Magori amedai kutokana na sababu za kubadilika kwa ratiba ya CAF, michuano ya Afcon yatakayofanyika Misri itakuwa ngumu kwa klabu ya Simba kushiriki mashindano ya Kagame Cup. Simba inatarajia kwenda kuweka kambi ya mwezi mmoja nje ya nchi kujiandaa na msimu wa 2019/20.
Albino ni mpayukajiYanga ilijitoa, Zeruzeru aliimba sana. Sasa wao wamejitoa Yanga hatuoni cha ajabu.
Rage atakuwa juu siku zote.
Yanga alipojitoa ikawa Nongwa maneno kibao, leo wao kimyaaaaaaaaYanga ilijitoa, Zeruzeru aliimba sana. Sasa wao wamejitoa Yanga hatuoni cha ajabu.
Rage atakuwa juu siku zote.
Yanga ilijitoa, Zeruzeru aliimba sana. Sasa wao wamejitoa Yanga hatuoni cha ajabu.
Rage atakuwa juu siku zote.