Jifunze kiswahili sanifu kwanza.Siyo unaandikaandika tu kama unachambua senene au unamenya matoke.Imethibitishwa siyo tetesi tena .
Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.
Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6.
Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa team Yao huko pre season.
Simba wamearika team ndogo kutoka CECAFA tulitegemea waalike team giant kama tutavyofanya Yanga ambapo tutaleta kati ya Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, TP Nazembe.
Simba wamearika team dhaifu ili wakiifunga wazidi kuwahadaa mashabiki wao mbumbumbu ati wana team nzuri.
Sasa ni hivi wajifiche ila tarehe 8 August itakuwa nane nane tutapiga 8
Mkuu wewe ni mtata sana jana sijui ulisemaje nikabaki kucheka tu...Jifunze kiswahili sanifu kwanza.Siyo unaandikaandika tu kama unachambua senene au unamenya matoke.
Ndiyo maisha mkuu malafyale.Nikumbushe.Mkuu wewe ni mtata sana jana sijui ulisemaje nikabaki kucheka tu...
Unawachefua nyoyo kabisa.๐๐๐๐
Shida sana, hayo ya Simba wewe yanakuhusu vipi? Waache na maisha yao.Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.
Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6. Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa team Yao huko pre season.
Simba wamearika team ndogo kutoka CECAFA tulitegemea waalike team giant kama tutavyofanya Yanga ambapo tutaleta kati ya Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, TP Mazembe.
Simba wamealika team dhaifu ili wakiifunga wazidi kuwahadaa mashabiki wao mbumbumbu ati wana team nzuri.
Sasa ni hivi wajifiche ila tarehe 8 August itakuwa nane nane tutapiga 8
Yap haya maisha inabidi kufurahi sana vitu vingi ukiandika mimi nacheka mwenyewe nitakukumbusha vingapi wacha nitafute supu ya maharage hapa...Ndiyo maisha mkuu malafyale.Nikumbushe.
Msimu ujao Wapigwe tena
TP Mazembe ni kimeo waondoe hapo kwenye list, fastaImethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.
Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6. Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa team Yao huko pre season.
Simba wamearika team ndogo kutoka CECAFA tulitegemea waalike team giant kama tutavyofanya Yanga ambapo tutaleta kati ya Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, TP Mazembe.
Simba wamealika team dhaifu ili wakiifunga wazidi kuwahadaa mashabiki wao mbumbumbu ati wana team nzuri.
Sasa ni hivi wajifiche ila tarehe 8 August itakuwa nane nane tutapiga 8
Wanatest mitambo na APR ya Rwanda๐๐๐๐ wameona isiwe tabu acha watafute mchekea wakiiangukia wakaifunga mashabiki roho zao ziwe kwatu๐๐Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.
Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6. Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa team Yao huko pre season.
Simba wamearika team ndogo kutoka CECAFA tulitegemea waalike team giant kama tutavyofanya Yanga ambapo tutaleta kati ya Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, TP Mazembe.
Simba wamealika team dhaifu ili wakiifunga wazidi kuwahadaa mashabiki wao mbumbumbu ati wana team nzuri.
Sasa ni hivi wajifiche ila tarehe 8 August itakuwa nane nane tutapiga 8
Waoneeni huruma jamanii, wakubwa wenzutu hawa.Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.
Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6. Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa team Yao huko pre season.
Simba wamearika team ndogo kutoka CECAFA tulitegemea waalike team giant kama tutavyofanya Yanga ambapo tutaleta kati ya Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, TP Mazembe.
Simba wamealika team dhaifu ili wakiifunga wazidi kuwahadaa mashabiki wao mbumbumbu ati wana team nzuri.
Sasa ni hivi wajifiche ila tarehe 8 August itakuwa nane nane tutapiga 8
Waoga hao.Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.