Fedha zote zinakwenda kwa Mo kwani ndiyo Kama mlezi au Mzazi wa timu hakuna na wala hatokuwepo Kama yeye. Anagharamia timu mazoezi,mishahara,posho na hata kumlipa kocha .Gharama zote za uendeshaji wa Club zipo chini yake hivyo hela lazima iingie mikononi mwake