Wydad (Morocco) 3-0 Stade Malien (Mali) ( aggr 3-1) Mtanzania Simon Msuva jana alicheza kwa dakika 86 kabla ya kufanyiwa Sub, ambapo kwa muda huo mnamo dakika ya 46 kipindi cha pili alipiga krosi mujarrabu iliyomfikia Ellafi na kuweka mpira kimiani ikiwa ni goli la pili kwa Wydad Casablanca...