Yanga atashinda mkuuMi ni simba ila huu uoumbavu wa wachache umetuathiri, nimefanya mambo chapchap ili jumapili niwe free niichek game kabla ya kurudi mkoani ila yamekuwa haya tena.
Jumamosi tukutane kwa mkapa angalau niwacheke nifurahi
Akishinda fresh tu naenda kuwasimulia bariadiYanga atashinda mkuu
Huyo mwamba hapo anachekesha sana kwa kweli.SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]
Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi ya Shirikisho...
Kutokana na Matukio hayo Simba imefungiwa kuingiza mashabiki mechi ya mwisho ya kundi dhidi ya Costantine.
Kitendo cha Simba kutoingiza madhabiki kunaikosesha simba mapato ya mlangoni zaidi ya Million 500
Pia Simba imetozwa Faini ya Dollar 40,000 (sh.Million 100) za kitanzania kwa kufanya fujo hizo
Pia Simba imetozwa sh. Million 38.4 kwaajili ya kukarabati viti vilivyoharibiwa na mashabiki waje
Million 500 + Million 100 + Million 38.4 = Million 638.4 hii ndio hasara waliyoiingiza Mashabiki wacgache wapumbavu
Ifike mahali tuache kucheka na hawa wapuuzi vilabu vyetu bado vinajitafuta sio matajiri hizi pesa ni hasara kubwa sana kwa klabu, hiyo million 600 ingefanya mambo mengi sana kwenye timu lakini inapotea kwaajili ya wapumbavu wasiozidi hata 50 waliolipa 3,000View attachment 3203370
Hiyo milion 600 tungemchukua Fei toto tu. Asingeweza kuchomoka kwenye hilo dauYanga atashinda mkuu
Ila umeua sana eti alilipa kiingilio cha afu tatuJamaa yupo serious kweli[emoji23][emoji23]
Mtaalamu wakuongeza figure.Mudi ataifidia.
Mudi kashindwa kusajili wachezaji wa maana kutokana na gharama zao sembuse atoe pesa eti kulipia wajinga labda kama sio mhindi,,wafanyakazi wake tu anawalipa laki mbili mbili unacheza na wahindi wewe!Mudi ataifidia.
lazma simba achukue kombe la shirikisho zamu hiiSIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]