1. Usipoteze muda na Laban ni Chura mtiifu na sasa yupo dimbwini kashiba wadudu, kushindana naye kukoroma ni kujitafutia tatizo la kansa ya koo. Huu ni wakati wake. Yanga inafanya vizuri.Mkuu hakuna cha hasira wala nini. Tunachosema ni ukweli hapa hakuna ambae ameshafuzu kila timu bado ina nafasi.
Kama simba angefungwa zaidi ya goli Moja ningekwambia mwendo kaumaliza. Lakini kwa hilo goli Moja bado nafasi anayo iwapo atasahihisha nakosa yake.
Ulitegemea kwenye lile kombe la AFL simba atoe draw na Ahly kule cairo tena Ahly kutanguliwa kufungwa?
Tuziombee timu zetu zifuzu badala ya huu ushabiki usio na tija kwa taifa letu.
Daima mbele nyuma mwiko ,
#Simba nguvu Moja#
AaahaaaMakolo wameinvest mpira wa mdomoni ( wakizamani) huku wakimtegemea Ahmed ally Kwa propaganda ili kushinda.... mfano...kawajaza mashabiki kuwa waanze kuhesabu magoli ....Baada ya kufika 3 [emoji23][emoji23]......
Baada ya kukandwa...kasema Simba ni timu ya maajabu
Huku wakisahau kuwa mpira ni uwekezaji ya kutafuta quality players, na vipengele vyake ....Simba imeaibisha taifa Kwa kufungwa home by ground jambo ambalo ni fedheha sana
Nb makolo wajue ...soka halichezwi mdomoni[emoji23][emoji23]View attachment 2950045
Kila mtu ashinde mechi zake1. Usipoteze muda na Laban ni Chura mtiifu na sasa yupo dimbwini kashiba wadudu, kushindana naye kukoroma ni kujitafutia tatizo la kansa ya koo. Huu ni wakati wake. Yanga inafanya vizuri.
2. Acha unafiki. Hakuna timu zinaitwa timu zetu, timu yetu ni Taifa stars. Furaha ni kumuona mpinzani wako anaukosa ubingwa.
Unadhani Simba jina la mwakarobo tulijipa? Tumepewa na vyura na wanatamani mwaka huu walitumie tena.
Yanga ikibeba ubingwa itatembeza kombe mtaa kwa mtaa na Simba tutajifungia ndani kwa unyonge sana.
Hakuna sababu ya kuwa mnafiki kuwa shabiki wa Simba utaiombea Yanga ipite nusu fainali. Si kweli.
AahaaaaaWe angalia akili za members kama OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE , Scars , United ya Ferguson nk ndo utajua simba ilivo na safari ndefu kufikia mafanikio.
Hakuna cha ajabu hapo team 7 zipo na 0 na wewe kwa upumbavu wako unakaza fuvu Simba kakandwa, hivi 🐸🐸hamjakandwa mna goli ngapi mpaka sasa?Unajisikiaje kuona ni Kolo tu ndo aliyekandwa mkuu???[emoji23]
Quality ya kuchezesha walevi hadi kipa Williams akawa anatoka kabisa golini baada ya kuwaona walevi 🐸🐸wanaruks ruka tu kwa pitch 😂😂Quality ya kupaki bus??
Hii inaonyesha kolo ndo myonge pale mjini robo fainali [emoji23]Hakuna cha ajabu hapo team 7 zipo na 0 na wewe kwa upumbavu wako unakaza fuvu Simba kakandwa, hivi [emoji196][emoji196]hamjakandwa mna goli ngapi mpaka sasa?
Acha kuwaza kwa kutumia makario dogo
[emoji23][emoji23]Ngoja waje natakwimu View attachment 2950312
Nimekuuliza 🐸🐸mna goli ngapi unakenua tu domo kama mpiganyeto wa kihansi, hebu leta majibu acha kujishebedua kama watu wa free entrance kwa Mkapa janaHii inaonyesha kolo ndo myonge pale mjini robo fainali [emoji23]
Makolo... kwaherini... Asante Kwa kushiriki CAF champions leagueNimekuuliza [emoji196][emoji196]mna goli ngapi unakenua tu domo kama mpiganyeto wa kihansi, hebu leta majibu acha kujishebedua kama watu wa free entrance kwa Mkapa jana
Ahmed ally mafanikio ya yanga Yana mpain sanaHuyu amed ally nikisikiliza press zake huwa nacheka sana. Kama kuna ambaye anamchukulia siriaz bila shaka hayupo sawa kichwani. Ila napenda style yake ya kuamasisha na namna anavyotutania wananchi, jamaa hachochei uadui halafu hana kashfa na maneno ya shombo kama manara alivyokua simba.
My love unanisikitisha nipo tayari kulipa nauli twende sauzSiwadai simba, tumekufa kiume.....
AaahaaaNapokea pongezi[emoji23][emoji23][emoji112][emoji112]
Nlipie twende basi tukawaone ubuntu bothoMy love unanisikitisha nipo tayari kulipa nauli twende sauz