Sifa za kijinga hizo kwenye tasnia ya biashara. Hata Kama yeye Ni mshabiki lakini hawezi kusahau kuwa pia Ni mfanyabiasha na mchumi.Usimfananishe MO na hao ndugu zako watembeza bakuli, mbali na kuwa MO mwekezaji lakini pia ni mshabiki lia lia. Haya anayoyafanya ni mapenzi hiyo b20 ni dakika sifuri itaingia wala hakuna mashaka, kwako jese john..
Tufanye ni kweli mpira haumlipi, na kwa kanuni za kibiashara inatakiwa ilete faida na sio hasara. Umeshajiuliza mbali na hasara anayopata kwanini bado yuko msimbazi??Sifa za kijinga hizo kwenye tasnia ya biashara. Hata Kama yeye Ni mshabiki lakini hawezi kusahau kuwa pia Ni mfanyabiasha na mchumi.
Yote haya Ni jitihada za kugoma kuchangia furaha yako. Mpira wetu bado umekaa ki burudani zaidi. Mshindi wa ligi anapata 100,000,000 tu wakati garama za mashindano 4bnMtumwa Fc wewe, nenda kachangie watumwa fc wenzako kule, GSM pesa imekata kwa ajili ya kufanya mashindano na wenye pesa!!
Mbweha fc, nyani fc, bakuli fc
Yuko msimbazi lakini sio kwa 20bn kwa mpigo. Anakusanya kidogo kwenye gate collections, jezz, wadhamini wengine wa Simba na ligi na kurudisha hasara, Lakini usitegemee kuwa watu watakunywa masafi na energy zake kwakuwa eti yeye Ni mdhamini wa Simba. Ana akili nyingi bwana yuleTufanye ni kweli mpira haumlipi, na kwa kanuni za kibiashara inatakiwa ilete faida na sio hasara. Umeshajiuliza mbali na hasara anayopata kwanini bado yuko msimbazi??
Za mchna mbaya.nawapa salamu wajumbe wamenikaushia.....za mchana
Simba watoe hela gani tena ambazo unasema hawajatoa?Gogoro Simba la kumtimua mo linasubiri pale tu mo atakapoweka 20 bilioni kwenye account ya Simba. Nadhani hata mo analifahamu hilo vizuri ndo maana anachelea kuachia zigo.
Simba wanataka mo alete 20bn lakini wao hawataki kutoa za kwao za umiliki wa 49%.
Wanadhani mo hana uchungu na hela zake, wanataka Ikibidi mo aache kuwaongeza mishahara wafanyakazi wake ili awafurahishe Simba.
Simba wanaona ajabu kwelikweli Yanga wanavyochangishana ili kugharamia ulevi wao wa mpira, Simba wanataka mo awafurahishe kwa 100% huku wakijua kuwa mpira Tanzania haulipi, matumizi ya club Ni makubwa kuliko Mapato.
Mo usione aibu kuwaambia wachangie starehe yao ya mpira, viingiilio, zawadi na jez haviwezi kugharamia wachezaji, bench la ufundi na usafiri
Uchawi ni matendoWatangoja sana