Simba Vs Yanga 29/04/2026

Toa ujinga hapa ,tuko busy kusaka watu 400 waliopotea na mnadai walijiteka mara wengine wamepotea kwa sababu za kimapenzi.

Haya matakataka mawili ya Kariakoo hayakujaribu hata kutoa pole kwa wahanga wa October 29 na wauaji walikua wametinga jezi zao kumwaga damu za watanganyika zaidi ya 10000.

Haya matakataka ni moja ya jukwaa la CCM kuwapumbaza watanganyika kutoka kwenye mambi ya msingi.

Hiyo tarehe 29 tutaitumia kama siku ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya tarehe 29 October.
 
Safi sana, watu hamuondolewi kwenye reli.
 
Safi sana, watu hamuondolewi kwenye reli.
Naam, haya matakataka ndio phase ya mwisho watanganyika wakikamilisha basi CCM lazima warudi kwenye drawing board .

Kule kwa wasanii mwanga ulionekana kususia matakataka yao mpaka wakaanza vilio na huku tukiweka nguvu basi Tanganyika itakombolewa.
 
Simba wajihadhali hii mechi, siyo muhimu zaidi ya kupata pesa lakini mechi muhimu ni ya Mei 3. Wachezaji wao muhimu wanaweza kuumizwa makusudi ili wasicheze mechi ya May 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…