Yanga damu damu, toka nazaliwa.....mimi nina pacha wangu tulikua tunapigana sana nyumbani tunaenda shule tumenuniana, ila mmoja akichokozwa tulikua tunasahau tofauti zetu na kugawa kipondo cha maana, hii falsafa ndio inanifanya leo nivae tshirt ya bendera ya Taifa na kuishangilia timu inayowakilisha Taifa.
Sent using
Jamii Forums mobile app