Fixed kivipi wakati Mgunda alipoamua kuivunja vunja timu kwa kufanya ndiopo walau Ruvu wakafufuka.
Ile ilionesha dhahiri kuwa ni mzigo ulikuwa mzito, kwamba wangewekewa kikosi nafuu nao wangefurukuta walau kwa droo kama sio kufungwa kamoja tu kwa mbinde.