Mkuu acha uongo boxer amecheza mechi nyingi katika nafasi ya beki wa kulia na huyo Gyan akiwa singida hajawahi kucheza namba 2 .Ukiacha utaahira utakuwa wa maana zaidi..ruvu wameingia full mkoko ila beki yao ya kulia ambayo ni tegemezi tariq abey hajaonekana kuwa bora leo,pia mtu kama abal kasim anaonekana hana ubora leo..
Kwa kigezo hicho kocha mkwasa anawatoa hata kipindi cha kwanza hakijaisha,kwa akili yako unadhani kama ingekuwa match fixing wangewatoa wachezaji tegemezi!??.
Juzi alianza full beki kulia boxer ambaye huwa haanzi,beki wa singida tegemezi ni gyan alieingia kipindi cha pili.
Pia wawa alianzia benchi,ulijiuliza kwanini???
Timu ya ruvu huwa hawawaheshimu simba hata siku moja,hawajawahi kujilinda dhidi ya simba,ila wakicheza ba yanga mara zote huwa wanapaki basi kwa kuwa wanawaheshimu yanga.
N.b ukicheza na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira,na wachezaji wake wana uwezo na spidi kama simba au yanga na azam ukitaka pishana nao lazima..narudia LAZIMA ufungwe tuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848][emoji848]
Pole sana! Umeandika kwa uchungu sanaEndeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili
Takukuru ushahidi unaanza kutolewa hadharaniMchezo umeanzia hapa
Nisiwachoshe msinichoshe
Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili
TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu mimi nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] takukuru mnasubili nini, au paka na Kibu D na kyombo nao wafunge hatrick kutokea benchi
Mtaishia kuzifunga timu hizi hizi mnazoweza kuzinunua ila Azam na Yanga watawanyanyasa sana na vikombe wataendelea kuwanyang'anyaPole sana! Umeandika kwa uchungu sana
Hawa ruvu ni lini waliwahi kuwazidi simba uwanjani.....walishapigwa mpaka sabaNisiwachoshe msinichoshe
Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili
TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu mimi nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]
Kumbuka pass master yupo uwanjani leoNimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Picha ya kitambo sana hii.
We acha kushabikia maigizo,, Boco wa sasa anauwezo wa kuifunga timu gani hapa bongo??Hawa ruvu ni lini waliwahi kuwazidi simba uwanjani.....walishapigwa mpaka saba
Azam kabla ya kushinda game ya juzi mara ya mwisho kumfunga Simba unakumbukaMtaishia kuzifunga timu hizi hizi mnazoweza kuzinunua ila Azam na Yanga watawanyanyasa sana na vikombe wataendelea kuwanyang'anya
Safi sana kwa kufutaSawa mkuu kwa heshima, ngoja niyafute...
Ila wala mihogo wana midomo sana
Simba ilikuwa timu Bora hapo miaka michache nyuma ndio maana hatukulalamika ila Simba hii ambayo haiwezi piga pasi 10 itaifunga timu gani??? Huoni dalili zooote za muamala mkuu???Azam kabla ya kushinda game ya juzi mara ya mwisho kumfunga Simba unakumbuka
Kwani mwiko nyuma si kauli mbiu yenu ama ni tusiSi vizuri kuandika maneno machafu kama haya mkuu
Hata hivo nmeondoa maneo hayo, kama kuna mtu ameudhika kumradhi....Kwani mwiko nyuma si kauli mbiu yenu ama ni tusi