Akina sembo wako wapi jamani?
Namna hii mechi kubwa kama hii kukosa thread ya updates yenye kueleweka maana yake nini?
Au zile 'salamu' za jana mmeshaanza kupotezana?
Msimu uliopita siku kama hii yenye mechi ya Simba thread zilikuwa zinaanzishwa masaa 10 na zaidi kabla ya mechi