Simba vs es setif live

Ila Simba wasibweteke wakienda arabuni wacheze kwa kasi watafute bao la ugenini la mapema la sivyo Waarabu hawaeleweki watawashushieni mvua
nadhani hali ya hewa ya joto imewaathiri waarabu,Simba wajiandae kucheza ktk hali ya hewa ya baridi kali mechi yao ya marudiano huko Algeria. Hongera Simba!
 
nadhani hali ya hewa ya joto imewaathiri waarabu,Simba wajiandae kucheza ktk hali ya hewa ya baridi kali mechi yao ya marudiano huko Algeria. Hongera Simba!
Yanga utawajua tu

Wewe huoni kwamba Simba wakienda kule na baridi ndio watacheza vizuri zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…