Simba tunakosa uhondo ligi hainogi

Kubebwa ubebwe ww simba na kubweka mnabweka nyie wenyewe, team km Liverpool imebeba ubingwa kwa point different kubwa na bado wanaamin msimu ujao watakuwa na changamoto kubwa lakin ww uliye pewa ubingwa kwa mbeleko unaanza kuvimba kichwa... Duuuuu nyie wanyama amkeni mjue kuwa bila mbeleko za kukariwa na warasi karia nyie ni paka tuu
Unaongea ki - Uto FC
 
Hawa ndiyo wekundu wa msimbazi
FB_IMG_15968679330626854.jpg
 
Kwani hapo we huoni nyani,we si umeweka picha ya pamoja ya timu yenu
Kwann unapata tabu na picha ya wekundu wa msimbazi au simba mzee alie nyonyoka manyoya au huoni huo wekundu hapo nyuma
 
Back
Top Bottom