Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 222
Haya machezaji jana yamenikera sitaki kuwa mnafiki.
Kwani Simba wakisikia Mashujaa huwa wanakosa nguvu!
Ngono na mpira, mbali mbali
Nadhan ndio tatizo wake zao walitaka wafanye siku ya sikuu hil furaha iwe kubwa zaid.
Imeumiza match sasa
We yanga. Tulia.Habari wanajukwaa.
Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya.
Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta tunaambulia na kipigo cha mbao wakati huo tunaowaita mikia wakikusanya points muhimu pamoja na kuwa na halo ngumu.Wakati huo mashabiki sisi tukijivunia uwepo was kina kangwere na mboko ambao hawajaweza kutuweka kileleni mwa ligi huku tukiwacheka kina makambor pamoja na ukata wao Leo wametuacha points nyingi kwa halo iliyofikia had sasa ubingwa wa ligi tumekosa hivyo ligi ya mabingwa mwakani hatushiriki hill jambo lipo wazi.
Kama ligi imetushinda basi tungezingatia kombe LA shirikisho ili kujihakikishia tunapata hill kombe na kushiriki kombe LA shirikisho mwakani kwa siasa za lile zeruzeru na wajinga wenzake kujitia kumshauri kocha apange kikosi cha walevi hatimae MASHUJAA wametufunga mabakuli.Manara namuona mngese sana na wenzake wanamshauri sana yule kocha siamini kama yule kocha anaijua mashujaa mpaka apange ungese ule ushauri wa yule zeruzeru ndo chanzo.
TUMAINI CAF CHAMPIONS LEAGUE hapa sasa ndoto za watu wapumbavu ndo zilipojaa kuwaza kuwa SIMBA itachukua kombe LA CAF ili ishiriki tena mashindano mwakani yani huu ni ungese.......yaani ungese msifikiri Africa nzima imejaa kina NKANA na MBABANE na kujipa matumaini huyu CHAMA ataweza kufunga goli zake mbele ya Zamarek ama mazembe.
Huu ni upumb huyu manara alee familia anakiranga sana mwakani tubaki hapa hapa ili bakuli LA manara lifunge.
Yaani wewe na manara ni wale wele mnajifanya mnajua maneno ya kitaalamu Sana hiyo fatiki unaijua wewe waache wacheze kama kufa wafe muhimu ushindi.Ko ulitaka wachezaji wasajiliwe wale pesa za bure wasicheze?
Kila siku ukiwachezesha kina Okwi huoni watapata fatiki.....
Sidhani kama ww ni simba na ni shabiki wa mpira....
Kama ndivyo basi umekuja baada ya ushindi wa Nkana....
😁😁😁😁Hahaha Shadeeya njoo uku
Aseee mpira haupo hivyo ndo maana kukawa na idadi kubwa ya wachezaji....sio kwa ajili ya mapambo wanatakiwa kuchezaYaani wewe na manara ni wale wele mnajifanya mnajua maneno ya kitaalamu Sana hiyo fatiki unaijua wewe waache wacheze kayma kufa wafe muhimu ushindi.
Kibao kimeanza kugeuka Mkuu. Yaani mpaka sasa walio wengi hawaongei lugha moja.Aiseeee naona wakereketwa na wafurukutwa wa Mikia mnatolea mapovu si ya Nchi,duh kweli Mashujaa wamewaweza kudadadadadeki zenu