SIMBA SC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Rand mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe alikuwepo kwenye mchezo huo na baada ya mechi akasema;
Nimefurahishwa na kiwango cha timu japokuwa tulikosa baadhi ya wachezaji wetu walio timu za taifa za Tanzania na Uganda,.
Mchezo huo ulikuwa sehemu ya maandalizi yake ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, Oktoba 18, mwaka huu Dar e Salaam, mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
ShaffihDauda
Mi mshabiki wa Chelsea,kwa bongo simba ndo inaniumiza kichwa
arsenal na simba hebu vaa viatu vyangu
Kiswahl cha wapi hicho?
Tutasikia ilikuwa bonanza na veteran wa Orlando
ama kilikuwa ni kikos cha tatu u20Tutasikia ilikuwa bonanza na veteran wa Orlando
Kwa link hii mbona Orlando wamecheza na Mpumalanga leo na kushinda 1-0?? Hao mikia wamecheza na orlando gani?
Labda Orlando Academia!
kuna mechi huchezewa mtoni ndio maanaKiswahl cha wapi hicho?