Ni sehemu ya kudanganyia mashabiki wavimba macho wa utopwise na kujiliwaza kwa viongozi wao.Hivi wamempokea Herieth Makambo?Anyway,Leo tena kuna kesi gani?πππππ
Ni sehemu ya kudanganyia mashabiki wavimba macho wa utopwise na kujiliwaza kwa viongozi wao.Hivi wamempokea Herieth Makambo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hiyo kesi ilikuwepo muda mrefu na adhabu ilitolewa ila Simba ikakata rufaa kwa sababu mawasilian yalikuwa yanafanywa kupitia kwa Senzo ambaye alishaondoka klabuni kwa hiyo Simba kama klabu haikushirikishwa.