mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Hujaambiwa Suala la ukocha . Nimejaribu kuangalia maeneo ambayo Timu inaweza kukwama. Kama unaweza kunipinga kwa hoja karibu.Leseni yako ya ukocha iko wapi nikupe timu.
Mchezo wa soka huwa hauna timu timamu siku zote.Hujaambiwa Suala la ukocha . Nimejaribu kuangalia maeneo ambayo Timu inaweza kukwama. Kama unaweza kunipinga kwa hoja karibu.
Ndio maana Manula mpaka Leo nimeshindwa kumuita Tanzania One. Bado hajaweza kuvaa viatu vya Mwameja, Nemes , kaseja , Iddi pazi , Ivo Mapunda na wengineo . Tanzanis One gani unafungwa magoli ya Aina moja.Maneno KUNTU tena kwa uyo manula ndio umenena, hana lolote alaf anafungwa magoli ya kishamba sana, mfano magoli ya nkana ya hovyo
... 2. Tatizo lisiloisha la kipa Aishi Manula la Kufungwa Magoli ya Faulo na mashuti ya mbali asipobadilika litaigharimu sana Timu. Nakumbuka nilishawahi kumkumbusha katika page yake ya Instagram muda sana na hakuna Mabadiliko.
Hii ya Manula naona sasa watu wanakaririshana, na imekuwa wimbo. Mbona magoli aliyoruhusu ni machache ukilinganisha na hatari alizookoa? Yaani unaona ni bora golikipa anayefungwa magoli 10 ndani ya eneo la kumi na nane kuliko Manula anayefungwa magoli matano nje ya eneo la kumi na nane, kwa idadi hiyo hiyo ya mechi? Kwa nini hatuzingatii hatari alizookoa ambazo kipa mzembe angefungwa? Tuache kukariri, eti tumuache Manula kwa kuwa anafungwa magoli ya staili moja, tumsajili Kindoki eti kwa kuwa anafungwa magoli ya staili tofauti tofautiNdio maana Manula mpaka Leo nimeshindwa kumuita Tanzania One. Bado hajaweza kuvaa viatu vya Mwameja, Nemes , kaseja , Iddi pazi , Ivo Mapunda na wengineo . Tanzanis One gani unafungwa magoli ya Aina moja.
Kwa hiyo asajiliwe Mwameja, Pazi, Kaseja na Ivo Mapunda? Kwa sasa Manula ndio Tanzania OneNdio maana Manula mpaka Leo nimeshindwa kumuita Tanzania One. Bado hajaweza kuvaa viatu vya Mwameja, Nemes , kaseja , Iddi pazi , Ivo Mapunda na wengineo . Tanzanis One gani unafungwa magoli ya Aina moja.
Hakuna ulichoongea cha uongo hapo, ni ukweli mtupu. Kuna medhi wamepoteza points 3 kizembe kabisa kama mechi yao na Yanga, Lipuli na Mbao.Hujaambiwa Suala la ukocha . Nimejaribu kuangalia maeneo ambayo Timu inaweza kukwama. Kama unaweza kunipinga kwa hoja karibu.
Tanzania One gani Mbezi na Mbagala Imoooi!!Kwa hiyo asajiliwe Mwameja, Pazi, Kaseja na Ivo Mapunda? Kwa sasa Manula ndio Tanzania One
Hatujamuongelea Kindoki hapaHii ya Manula naona sasa watu wanakaririshana, na imekuwa wimbo. Mbona magoli aliyoruhusu ni machache ukilinganisha na hatari alizookoa? Yaani unaona ni bora golikipa anayefungwa magoli 10 ndani ya eneo la kumi na nane kuliko Manula anayefungwa magoli matano nje ya eneo la kumi na nane, kwa idadi hiyo hiyo ya mechi? Kwa nini hatuzingatii hatari alizookoa ambazo kipa mzembe angefungwa? Tuache kukariri, eti tumuache Manula kwa kuwa anafungwa magoli ya staili moja, tumsajili Kindoki eti kwa kuwa anafungwa magoli ya staili tofauti tofauti
Umewaza vyema sanaHii ya Manula naona sasa watu wanakaririshana, na imekuwa wimbo. Mbona magoli aliyoruhusu ni machache ukilinganisha na hatari alizookoa? Yaani unaona ni bora golikipa anayefungwa magoli 10 ndani ya eneo la kumi na nane kuliko Manula anayefungwa magoli matano nje ya eneo la kumi na nane, kwa idadi hiyo hiyo ya mechi? Kwa nini hatuzingatii hatari alizookoa ambazo kipa mzembe angefungwa? Tuache kukariri, eti tumuache Manula kwa kuwa anafungwa magoli ya staili moja, tumsajili Kindoki eti kwa kuwa anafungwa magoli ya staili tofauti tofauti