wakuu, 'libolo' kwa kifupi neno hili ni jina la sehemu ya siri ya kiume yaani ule 'mtambo' wenyewe. Kiambishi awali 'li' huonyesha ukubwa wa mtambo huo, maneno mengine ni k.v. Ling'ombe, limtu n.k. Hivyo neno 'libolo' ni tusi kule mza, shy, tbr, git, smy n.k. Simba inabidi washinde tu, wakipigwa wanayanga watawapachika maneno lukuki!