Kwa hakika simba ninayoifahamu sio ile ya akina Mohamed Mwameja,Madaraka Seleman,Abdul Mashine na wengineo.hii timu tangu akabidhiwe huyu msomali bure kabisa.
Wamezidi kudhurumu,walimdhurumu Phiri,wakam'dhurumu Basena kabla hawajaamua kumlipa kwa kumpa u'kocha msaidizi,wakaidhurumu familia ya Marehemu Mafisango(RIP) na sasa wanataka kumdhurumu Milovan, dhurumati wakubwa hawa.