R RON PAUL Member Joined Feb 26, 2012 Posts 45 Reaction score 10 Feb 28, 2013 #221 wanarudiana lini hawa?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Feb 28, 2013 #222 Mi nawashangaa sana Simba, yaani wameamua kulifuata LIBOLO!!!!Hawaogopi?
I Independent Voter JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 279 Reaction score 71 Mar 4, 2013 #223 simba inatia huruma sana kipindi hiki
myao wa tunduru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2010 Posts 614 Reaction score 236 Mar 5, 2013 #224 kuna watu wana utani......baada ya SIMBA kuchapwa na liBOLO yaamua kujipima nguvu na chiPUMBU YA Zambia kabla ya kuikabili al- SHAHAWA-li ya morocco
kuna watu wana utani......baada ya SIMBA kuchapwa na liBOLO yaamua kujipima nguvu na chiPUMBU YA Zambia kabla ya kuikabili al- SHAHAWA-li ya morocco
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,505 Reaction score 1,102 Mar 5, 2013 #225 hehehehe kama nawaona watani wa jadi
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,272 Reaction score 31,848 Nov 14, 2020 #226 Leo Katika Historia.
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,038 Nov 14, 2020 #227 Hahahahahah
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Sep 6, 2021 #229 Libolo fc
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,961 Reaction score 134,051 Sep 6, 2021 #230 wazee wa historia,kwa nini huwezi kuongelea hili Simba la sasa linalotisha. Unajua utavuna aibu
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,534 Reaction score 2,500 Sep 6, 2021 #231 Simba walikalia Libolo
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Sep 6, 2021 #232 Mc Tilly Chizenga said: Vichwa vya habari vya magezeti *simba yachanwachanwa na libolo *simba yapigwa libolo *libolo came from behind to beat simba *simba hoi kwa libolo *simba yaimeza libolo *simba yaila libolo *simba yaitafuna libolo Click to expand... Bao tatu za libolo zawaliza simba
Mc Tilly Chizenga said: Vichwa vya habari vya magezeti *simba yachanwachanwa na libolo *simba yapigwa libolo *libolo came from behind to beat simba *simba hoi kwa libolo *simba yaimeza libolo *simba yaila libolo *simba yaitafuna libolo Click to expand... Bao tatu za libolo zawaliza simba
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,207 Reaction score 40,645 Sep 6, 2021 #233 Libolo laizamisha Simba.......
Don Vito JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 1,343 Reaction score 2,120 Sep 6, 2021 #234 Mc Tilly Chizenga said: Vichwa vya habari vya magezeti *simba yachanwachanwa na libolo *simba yapigwa libolo *libolo came from behind to beat simba *simba hoi kwa libolo *simba yaimeza libolo *simba yaila libolo *simba yaitafuna libolo Click to expand... Damn
Mc Tilly Chizenga said: Vichwa vya habari vya magezeti *simba yachanwachanwa na libolo *simba yapigwa libolo *libolo came from behind to beat simba *simba hoi kwa libolo *simba yaimeza libolo *simba yaila libolo *simba yaitafuna libolo Click to expand... Damn
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,038 Sep 6, 2021 #235 Hili kaburi la mwaka gani?