Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!