Mkuu.. Aliyeuliza swali nimeona nikimpa jibu tu halitatosha.. Ikabidi nimpe na overview ya mechi nzima ilivyokual, KARIDHIKA. Inakuaje wewe ambae hujauliza swali unakwazika na majibu yangu?
Leo CR7 wa Uganda, Okwi pamoja na Beki Kisiki, Kiboko ya Samatta, Juuko Murshid watakua dimbani kuanzia saa 10 kamili wakipambana na Lesotho. Na hii itakua ni katika mchezo wa kuwani kufuzu AFCON. Ikumbukwe Uganda, Lesotho, Cape Verde na Tanzania wapo kundi moja.
NB: Natumai sijaweka mbwembwe katika swali lako.