Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,604
- 188,818
Kwa kikosi kipi hicho ambacho kinakupa matumaini?Viceversa is true
Bao la haraka ndio liwatoe mchezoni kwa dakika zote kwahiyo kocha hadi anaenda mapumziko walienda kuzungumza nini hasa?Mimi naona lile bao la haraka la kwanza ndilo liliwatoa mchezoni Simba. Lakini kwa Mkapa Simba waachane na mambo ya pira biriani, wao kwa vile wako nyuma kwa goli nne waanze na mashambulizi ya nguvu tuu na ikiwezekana kipindi cha kwanza goli zisipungue mbili.
Tuliona kule South Simba ndio walimlliki zaidi mpira licha ya kufungwa, hivyo nyumbani wanaweza kupindua meza.
View attachment 1788146
Kufika robo ndio mbali pale mtani?Jambo akitabiri Jeff Lea huwa siku zote hayawi.
Alitabiri kwa ulinzi wa Simba ulivyo haitofika mbali,lakini Simba imefika mpaka robo na kuruhusu goli chache za kufungwa.
Nimeota Leo kuna jogoo wawili mweupe na weusi Kwa mbali sana , mwingine ni golden na weusi wa mbaliNaona simba wakipigwa 5G Kwa Mkapa
Mkuu nilikuwa natoa taarifa sidhani kama kuna ubaya!Hivi utopolo hizo nguvu mnazotumia kuijadili Simba kwanini msihamishie japo robo kwa litimu lenu ambalo mwaka wa nne halichukui ubingwa
Kwa safu ipi ya ushambuliaji yanga waliyonayo? Ama unamaanisha yale magarasa lale mbele yaliyopaka rangi kichwani kama vichaaHabari.
Jeff Lea mchambuzi wa Efm kwenye kipindi cha Sports HQ leo, ameendelea kuzungumza vyema kuhusu Simba Sc juu ya mechi ya marudiano hapa kwa mkapa kwa kusema "Anaona kuna remix inaweza kuwepo akiwa na maana kipigo kile kile walichokipokea FNB stadium cha bao nne kinaweza kujirudia tena hapa hapa bongo"
Hapo awali aliwahi kusema kwa safu ya ulinzi wa Simba Sc ilivyokuwa mbovu basi Simba Sc hawatofika mbali kwenye haya mashindano.
Naungana na Jeff Lea kwa kauli yake ya Remix kujirudia tena kwa Mkapakapa stadium maana ni ngumu sana kubadili timu kwa kipindi kifupi naamna hiyo.
Wewe una maoni gani juu ya uchambuzi huu wa Jeff Lea juu ya kipigo kitakatifu tena kukishuhudia kwenye ardhi ya kwetu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni
Cc: Kichwa Kichafu.
Ukweli Simba wasijipe moyo hawawezi hao jamaa hata Kwa uchawi
Watakula za uso tu
Huu ni uchambuzi au ni ushabiki?Habari.