mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Nov 9, 2016 Thread starter #21 Tmuller said: Kama hawajalipwa mbona wamesikitika ...Kichuya kalia kabisa baada ya mechi Click to expand... Kichuya nichakulialia tu yule akishinda analia pia
Tmuller said: Kama hawajalipwa mbona wamesikitika ...Kichuya kalia kabisa baada ya mechi Click to expand... Kichuya nichakulialia tu yule akishinda analia pia
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,419 Nov 9, 2016 #22 Halafu eti hawa ndio walitaka tuzo ya mchezaji bora atoke kwao. Tuzo itabaki kwa Yanga milele, Simba wazee wa ushindi wa upepo mtaishia kuwaona akina Msuva wakibeba tuzo.
Halafu eti hawa ndio walitaka tuzo ya mchezaji bora atoke kwao. Tuzo itabaki kwa Yanga milele, Simba wazee wa ushindi wa upepo mtaishia kuwaona akina Msuva wakibeba tuzo.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,593 Reaction score 14,378 Nov 9, 2016 #23 Nifah said: Halafu eti hawa ndio walitaka tuzo ya mchezaji bora atoke kwao. Tuzo itabaki kwa Yanga milele, Simba wazee wa ushindi wa upepo mtaishia kuwaona akina Msuva wakibeba tuzo. Click to expand... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nifah said: Halafu eti hawa ndio walitaka tuzo ya mchezaji bora atoke kwao. Tuzo itabaki kwa Yanga milele, Simba wazee wa ushindi wa upepo mtaishia kuwaona akina Msuva wakibeba tuzo. Click to expand... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,970 Nov 9, 2016 #24 shushushu_mchokozi said: Watoroke waje kwa wakimataifa Click to expand... Waje tu mkuu tunawakaribisha wa kimataifa, Yanga daima mbele nyuma mwiko
shushushu_mchokozi said: Watoroke waje kwa wakimataifa Click to expand... Waje tu mkuu tunawakaribisha wa kimataifa, Yanga daima mbele nyuma mwiko
lil wayne JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 992 Reaction score 905 Nov 9, 2016 #25 Bailly5 said: Mbona mapema hivi aisee. Mooo hajatoa mshiko au? Click to expand... Mo kapokonywa timu na BMT... Hivyo kaamua aipotezee hiyo klabu kwanza. Lol
Bailly5 said: Mbona mapema hivi aisee. Mooo hajatoa mshiko au? Click to expand... Mo kapokonywa timu na BMT... Hivyo kaamua aipotezee hiyo klabu kwanza. Lol
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Nov 10, 2016 #26 lil wayne said: Mo kapokonywa timu na BMT... Hivyo kaamua aipotezee hiyo klabu kwanza. Lol Click to expand... Balaa tupu.
lil wayne said: Mo kapokonywa timu na BMT... Hivyo kaamua aipotezee hiyo klabu kwanza. Lol Click to expand... Balaa tupu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,963 Reaction score 13,943 Nov 10, 2016 #27 Sie mwendo YASC.