mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 956
ikiuzwa hiyo baadae wenye akili wataanza kudai kama udart...Kwa nini iuzwe...
ikiuzwa hiyo baadae wenye akili wataanza kudai kama udart...Kwa nini iuzwe...
mfumo wa team za ulaya unaeleweka na watu wana share pale kwa hiyo timu ikiuzwa umiliki wa timu unabadilika na utawala pia na unakua bora...huyo anaetaka kuinunua simba si nae atakua na maslahi na wachache tuu..Sioni tatizo team kuuzwa.. Wanaohofia kuuzwa ni wale wapigaji wa hela.. Walioweka mirija yao ma kupoteza mwelekeo wa team
Mbna team za ulaya zinauzwa?
Yanga bila Manji ni kichekesho. Subiri Manji aondoke tuone akina Mzee Akilimali wakiwavuruga.Poleni sana watani. Hvi hamuoni sie timu ikivurunda jangwani hapakaliki? Kuanzia wafadhili mpaka wafyeka nyasi uwanja wa kaunda fukuza.
Mkuu acha utani.Yanga bila Manji ni kichekesho. Subiri Manji aondoke tuone akina Mzee Akilimali wakiwavuruga.
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!
Duc In Altum.
Mo alikua na timu muulizeni alishindwa vp kuibrand na kua timu kama Azam