A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,485 Reaction score 8,667 Jun 12, 2019 #1 Jurko Murshid anapokuwa simba huonekana mchezaji wa kawaida sana lakini katika timu ya taifa uganda ni panga pangua je ni simba wanamkosea kumtumia au uganda hawana wachezaji wa kiwango kikubwa katika hiyo nafasi?
Jurko Murshid anapokuwa simba huonekana mchezaji wa kawaida sana lakini katika timu ya taifa uganda ni panga pangua je ni simba wanamkosea kumtumia au uganda hawana wachezaji wa kiwango kikubwa katika hiyo nafasi?
A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,485 Reaction score 8,667 Jun 22, 2019 Thread starter #2 Wakati simba wanafikiria kuwaacha okwi na jurko Wamekiwasha kweli kweli!!