P photo mee JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 608 Reaction score 93 Dec 21, 2013 #1 Leo Simba a.k.a. Wekundu wa msimbazi wamemwoshe yanga kuwa simba achezewi amemtafuna vitatu kwa moja
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,180 Reaction score 69,689 Dec 21, 2013 #2 Sasa hapa watakuja wavimba macho kubisha wakati ndiyo ukweli kama thread ilivyosimama
L LUWINGO Member Joined May 14, 2013 Posts 33 Reaction score 8 Dec 21, 2013 #3 kwani OKWI hakucheza... jamaaanii.....! dah...! huyu kocha wa simba atakuwa na kizizi2. hawa simba mbona kimipango na kimkakati tuliwashindaaa...!
kwani OKWI hakucheza... jamaaanii.....! dah...! huyu kocha wa simba atakuwa na kizizi2. hawa simba mbona kimipango na kimkakati tuliwashindaaa...!
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,588 Reaction score 3,521 Dec 21, 2013 #4 Ngasa,Mbuyu twite, Kaseja, yondani walikuwepo?
ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,370 Reaction score 3,006 Dec 21, 2013 #5 Yanga wamepakatwa teh teh teh,mpira Yanga hakuna majina tu 3-1
ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,370 Reaction score 3,006 Dec 21, 2013 #6 cj21125 said: Ngasa,Mbuyu twite, Kaseja, yondani walikuwepo? Click to expand... Kaseja nimemkubali kaokoa Goli moja matata teh teh teh,uko aliko anatamani jana kuliko leo..
cj21125 said: Ngasa,Mbuyu twite, Kaseja, yondani walikuwepo? Click to expand... Kaseja nimemkubali kaokoa Goli moja matata teh teh teh,uko aliko anatamani jana kuliko leo..
L lusembamajula Member Joined Nov 16, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Dec 21, 2013 #7 Hongereni wachezaji pamoja na bench la ufundi la simba kwa ushindi mnono,simba oyeee ila rage tuachie timu yetu we nenda kwenye siasa mdanganyane vizuri
Hongereni wachezaji pamoja na bench la ufundi la simba kwa ushindi mnono,simba oyeee ila rage tuachie timu yetu we nenda kwenye siasa mdanganyane vizuri
U USILALE Member Joined Dec 17, 2013 Posts 18 Reaction score 0 Dec 21, 2013 #8 Yanga wanacheza mpira wa mdomoni tu, sio wa uwanjani. Wana wachezaji wenye majina makubwa tu!
L Laleyo Senior Member Joined Dec 10, 2012 Posts 118 Reaction score 27 Dec 21, 2013 #9 cheza na mfalme wa pori!!!!? yanga alitaka kushika sharubu kilichompata
F fazahausi Senior Member Joined May 8, 2013 Posts 137 Reaction score 20 Dec 21, 2013 #10 yanga mtani zembe