Simba na harakati za uwanja bunju

ChrisMsofe

Senior Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
164
Reaction score
84


Swali ni je kwa mwendo huu wa mapanga na mashoka uwanja utakamilika ndani ya siku 100 kama walivyotuahidi?
 
Ndo wameanza, mashabiki wa damu.
 
wanaamini katika ule usemi wa wahenga usemao "haraka haraka haina baraka"
 
Hivi ahadi ya siku 100 ilikuwa na specifications za jinsi uwanja utakavyokuwa?
 
Hao wenye mapamga ni Kampuni gani ya ukandarasi iliyoshinda tenda ya kutengeneza uwanja?
 
Chini ya rage simba tunaonekana mabwege sana
 
mpaka wapande nyasi, ziote .....kazi mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…