Chamsingi usije kusema et kumbe ile team nikibonde maana leo inashuka mvua ya magoalAman iwe nanyi
Simba mzingatie haya
Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa
Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari
Mkumbuke sisi kama wana jangwani tutashangilia team itayoshinda leo endapo mkishinda nyie tutawashangilia ila endapo wakishinda wamakua na wanyungwe bas tutawashangilia hao pia
Sisi hatuna makuu ni watu safi sana
LONDON BOY
Mimi ni Yanga moja Ila kwa sasa nasema hivi:Ndo tunachotaka tunataka ushindi siyo porojo
Tunashinda mchana kweupeNdo tunachotaka tunataka ushindi siyo porojo
Hivi Mkuu na wewe ni Nguvu moja eee?Chamsingi usije kusema et kumbe ile team nikibonde maana leo inashuka mvua ya magoal
Ushindi upo ila atakayeshinda bado hajajulikana na atakayesonga mbele yupo ila hajajulikanaAman iwe nanyi
Simba mzingatie haya
Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa
Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari
Mkumbuke sisi kama wana jangwani tutashangilia team itayoshinda leo endapo mkishinda nyie tutawashangilia ila endapo wakishinda wamakua na wanyungwe bas tutawashangilia hao pia
Sisi hatuna makuu ni watu safi sana
LONDON BOY
Moja bila mpaka sasa ila litarudiSikia boy,,leo simba ushindi ni lazima,,
Kwanza mpaka sasa ushindi wa nje ya uwanja simba anaongoza 4 bila,
Moja bila mpaka sasa ila litarudi
Simba wanataka kuharibu jpili yangu jioni hii.Ndo tunachotaka tunataka ushindi siyo porojo
Kunya sasa!Niliapa ntakunya hadharani simba ikifungwa.
Sasa kuna boya mmoja wa yanga kashika poo jipyaa,kasogea pembeni yangu hapa,,nyafyatua mitama asahivi hapa akiniletea ujinga.
Moja bila mpaka sasa ila litarudi
Duuu wamakonde hatariSikia boy,,leo simba ushindi ni lazima,,
Kwanza mpaka sasa ushindi wa nje ya uwanja simba anaongoza 4 bila,