madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Kusajili magarasa akina Kapombe na Bocco!eti usajili wao uli - gharimu 1.5bilions ....... Mungu anaowaona, mwenye timu kapigwaa hapo!
Kumbe na wewe kandambili eeh?Hahahaaa. Na bado.
Hahaaaa.Kumbe na wewe kandambili eeh?
Mkuu, acha kabisa kumfananisha Lowassa na mambo ya kijingaLowasa alipoenda Mbagala kwa dala dala aliitwa Mzalendo, Simba wanakula kwa mama Ntilie kuunga mkono wajasiliamali wanaitwa wamefulia...
Enewei, tukutane uwanjani na habari hii bila picha ni umazwazwa!!
WatakatishajiNgada mbaya sana