Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,565
Kweli kabisa...Nitangulize pongezi kwa viongozi,benchi la ufundi, wanachama,wachezaji na mashabiki wa Simba SC kwa uvumilivu na mshikamano wao kwenye shida na raha.
Kuelekea fainali ya kombe la Mapinduzi,niwaombe kuendelea juhudi zile zile na ikibidi kubwa zaidi ili kuwaonesha AZAM na wengine kuwa Simba SC ina dhamira ya kurudisha heshima na hadhi yake ndani na nje ya mipaka yetu.Tuanze na hili na mengine yafuate.
Kwa nini iwe hivyo? Kwa kuwafunga Mkodisho FC,tayari tumeongeza maadui lakini kwa kujifunga AZAM tena mapema,itarejesha heshima yetu hata kama hawatakiri kwa ulimi lakini nafsi zai zitaongea.
Nawatakia kila la kheri kuelekea mchezo wa kesho.
SIMBA NGUVU MOJA
cc: van Gaal
Mimi kama shabiki wa timu ya wananchi, timu kipenzi cha mioyo ya Watanzania tuliokuwa wengi ~ Yanga...tunaitakia ushindi mnono Azam.
Kila la kheri wazee wa Lambalamba,wanyoosheni hao wachovu walioshindwa kutufunga ndani ya dakika 90 wakabahatisha kwenye matuta.

Mlishindwaje kubahatisha nyie?Mimi kama shabiki wa timu ya wananchi, timu kipenzi cha mioyo ya Watanzania tuliokuwa wengi ~ Yanga...tunaitakia ushindi mnono Azam.
Kila la kheri wazee wa Lambalamba,wanyoosheni hao wachovu walioshindwa kutufunga ndani ya dakika 90 wakabahatisha kwenye matuta.
Muulize mdau mwenzio wa YangaMara ya mwisho simba kucheza mashindano ya CAF ilikuwa mwaka gani?mimi nimesahau
Kwahiyo umenogewa na penzi la nyumba ndogo? Azam alikupa penzi 4G la analogue sisi tukakupa 4G digital...Mimi kama shabiki wa timu ya wananchi, timu kipenzi cha mioyo ya Watanzania tuliokuwa wengi ~ Yanga...tunaitakia ushindi mnono Azam.
Kila la kheri wazee wa Lambalamba,wanyoosheni hao wachovu walioshindwa kutufunga ndani ya dakika 90 wakabahatisha kwenye matuta.
Subiri utajua kwanini nimenogewa na nyumba ndogo leo [emoji39] [emoji6]Kwahiyo umenogewa na penzi la nyumba ndogo? Azam alikupa penzi 4G la analogue sisi tukakupa 4G digital...
Ama kweli nimeamini mapenzi yako nyumba ndogo... nyumba kubwa ni malezi ya familia tu.
Nikimuoa Azam leo.. utaendelea kuwa bimkubwa wangu au utataka talaka?Subiri utajua kwanini nimenogewa na nyumba ndogo leo [emoji39] [emoji6]
Hongera kwa ujasiri mwananchi.Mimi kama shabiki wa timu ya wananchi, timu kipenzi cha mioyo ya Watanzania tuliokuwa wengi ~ Yanga...tunaitakia ushindi mnono Azam.
Kila la kheri wazee wa Lambalamba,wanyoosheni hao wachovu walioshindwa kutufunga ndani ya dakika 90 wakabahatisha kwenye matuta.
Hawana uwezo huo.Ivi 4G hawawezagi kubahatisha matuta???!!
Tutakukumbusha kwa vitendo.Mara ya mwisho simba kucheza mashindano ya CAF ilikuwa mwaka gani?mimi nimesahau
Watakukataa haoSubiri utajua kwanini nimenogewa na nyumba ndogo leo [emoji39] [emoji6]