Simba itacheza na under 20 ya Ismailia, na wenyewe Ismailia wamesha thibitisha kwakua timu Yao Sinior itakua inacheza ligi mbaka 29/08/2022.Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri
Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu
Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni
Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba
Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
Sema machampion wa mapinduziMachampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri
Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu
Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni
Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba
Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
Aya sawaAibu zako peleka kule usitung'atie vidole sisi
Eti machampioni wa kandanda nchini!! Halafu na Yanga wataitwa nani sasa!Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri
Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu
Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni
Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba
Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
Pantoni linawaacha fanyeni chap tukutane Avic kigamboniEti machampioni wa kandanda nchini!! Halafu na Yanga wataitwa nani sasa!
Sema "timu ya simba iliyoko huko Misri kwenye maandalizi ya msimu mpya, inatarajia kucheza mechi 3 za kirafiki na timu za U-20 na wachezaji majeruhi wa....!"
Machampioni wa Tanzania kwa sasa ni Yanga! Hivyo usituchanganyie madesa bhana.
Utani ni mtamu sana.Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri
Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu
Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni
Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba
Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
Unaposema machampioni wa kandanda nchini uwe unafafanua ni mabingwa kwenye mashindano yepi, maana tuna mashindano mengi.Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri
Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu
Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni
Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba
Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mateso unayopitia, unahitajika ulinzi kwako, tutakukosa bureeee.Eti machampioni wa kandanda nchini!! Halafu na Yanga wataitwa nani sasa!
Sema "timu ya simba iliyoko huko Misri kwenye maandalizi ya msimu mpya, inatarajia kucheza mechi 3 za kirafiki na timu za U-20 na wachezaji majeruhi wa....!"
Machampioni wa Tanzania kwa sasa ni Yanga! Hivyo usituchanganyie madesa bhana.
Nimeshasema hapo kombe la NBC tumelikosa mwaka huu tu,. Tumefika robo fainali CAF shirikisho pia n tupo nafasi nzuri kwenye rank za CAF...vepe nyie?Unaposema machampioni wa kandanda nchini uwe unafafanua ni mabingwa kwenye mashindano yepi, maana tuna mashindano mengi.
Ndio machampion sasa?Nimeshasema hapo kombe la NBC tumelikosa mwaka huu tu,. Tumefika robo fainali CAF shirikisho pia n tupo nafasi nzuri kwenye rank za CAF...vepe nyie?