Yanga walicheza na MC Alger wakafanya vitu vingi sana nyumbani lakini hawakuambulia goli loloteSimba walifanya vitu vingi sana nyumbani ikiwemo uwepo wa mashabiki wengi uwanjani lakini waliambulia goli moja tu.
Simba umeshatoa timu ngumu na kongwe kuliko stelleKuna watu wanafurahia na kusema kuwa Simba ina mashabiki wengi sana South Afrika kuliko Stellenbosch; hivyo kuwa kama sababu ya Simba kufanya vizuri kule dhidi ya Stelle
Simba walifanya vitu vingi sana nyumbani ikiwemo uwepo wa mashabiki wengi uwanjani lakini waliambulia goli moja tu. Hii inaonyesha kuwa kuwa na mashabiki wengi uwanjani halikuwa tatizo kubwa sana kwa Stellenbosch.
Je, kama Stellenbosch wakiwafanyia japo nusu tu ya mambo waliofanyiwa na Simba kule kwao Simba watatoboa? Nguvu ya simba kule itakuwa iko sehemu ipi?
Tuombe Mungu, lakini haitakuwa kazi rahisi aisei!!! mbwa mkali kwao.Jambo linalolengwa sana ni Simba kuitoa Stellenbosch kwa sare, kushinda au kufungwa ila aggregate iibebe Simba. Kama Zamalek alitolewa 2003 kwanini ishindikane kwa hawa vijakazi wa Makaburu?
Tofautisha kati ya Champions and confederation' ni mbingu na ardhi. Yanga ilibakia kiduchu tu irejee nyumbani na tukombe hutu twa confederation kama isingekuwa figisu za timu mwenyeji na kanuni ya bao la ugenini. Hakuna cha ajabu hapo!!!!Yanga walicheza na MC Alger wakafanya vitu vingi sana nyumbani lakini hawakuambulia goli lolote
Simba sio lidude, haina kikombe cha CAF hata kimoja, hata hii nusu finali imepatikana kwa mbinde na tumba.Simba umeshatoa timu ngumu na kongwe kuliko stelle
Timu imejulikana miaka hii ta karibuni
Simba ni lidude likubwa sana africa
Watake wasitake safari imewakuta.Jambo linalolengwa sana ni Simba kuitoa Stellenbosch kwa sare, kushinda au kufungwa ila aggregate iibebe Simba. Kama Zamalek alitolewa 2003 kwanini ishindikane kwa hawa vijakazi wa Makaburu?
Pia tofautisha kati ya wanaoshiriki Champions League (Ahly, Mamelodi, Pirates na Pyramids) na wanaoshabikia Champions League (utopolo, Vital'O, CBE na Zalan).Tofautisha kati ya Champions and confederation' ni mbingu na ardhi.
Umeongea kimpira zaidi kuliko mwenye uzi wake.HUU NI MPIRA STELLENBOSCH KUMTOA SIMBA INAWEZEKANA NA SIMBA KUMTOA STELLE PIA INAWEZEKANA...
Magoli mawili anafungwa nani mwana uto mwenzangu?Mimi siyo mtabiri, ila kuna magoli mawili. Mpira unadunda.
Kama ile fainali yenu mlishinda kwa timu dhaifuSimba sio lidude, haina kikombe cha CAF hata kimoja, hata hii nusu finali imepatikana kwa mbinde na tumba.
Ungemalizia na wanaoshiriki muungano cupPia tofautisha kati ya wanaoshiriki Champions League (Ahly, Mamelodi, Pirates na Pyramids) na wanaoshabikia Champions League (utopolo, Vital'O, CBE na Zalan).