Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa makahaba wa maeneo ya Buguruni Kimboka, Sewa , Temeke, Tandika na Sokota. Mwenyekiti wao ambae alifahamika kwa jina moja la Siwatu aliyasema hayo leo na kunbainisha kuwa huduma hiyo ni kwa ajili ya washabiki na wachezaji wa simba tu.