kipindi kifupi kilichopita kuliokua na vurugu nying kuhusu ngasa kwena el mereihk ya sudan naamin.kukiwa kimya mpaka sas hiuku kila pande zikivutana .nimetembelea website ya club na kwenye profile ya ngasa timu alizochezea kwa mwaka 2013 imeandikwa el mereikk....