MWINY WETU
Member
- Dec 14, 2015
- 16
- 16
Itakuwa michuano mipya hiiNikweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bada.
BASI HONGERA KWA USHINDI WA KISHINDO! Mkatuwakilishe kwenye bonanza pale "VIDIMBWINI" a.k.a jangwani!SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA
Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU.
Kama timu moja ingeshinda mechi zote kati ya timu kubwa basi ingepata point 12. Mfano Simba wangewafunga yanga raundi zote mbili na Azam pia basi wangechuku point 12 yaani kwa yanga 6 na kwa Azam 6.
Lakni Simba wameambulia point 3 tu kati ya point 12 ambazo walizipata kwa kutoa Sare mara mbili na Azam na mara moja na yanga.
Azam wao wanafatia kwa kupata point 5 huku yanga ndio akiwa kinara kwa kuchukua point saba dhidi ya timu kubwa.
View attachment 1860728
Siku ile amekubandua vinne alikuwa mmeoSimba kwa Yanga ni mchumba tu! Akijitutumua sana huambulia sare. Kinyume na hapo, lazima apelekewe moto!!
kombe la mabatiSIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA
Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU.
Kama timu moja ingeshinda mechi zote kati ya timu kubwa basi ingepata point 12. Mfano Simba wangewafunga yanga raundi zote mbili na Azam pia basi wangechuku point 12 yaani kwa yanga 6 na kwa Azam 6.
Lakni Simba wameambulia point 3 tu kati ya point 12 ambazo walizipata kwa kutoa Sare mara mbili na Azam na mara moja na yanga.
Azam wao wanafatia kwa kupata point 5 huku yanga ndio akiwa kinara kwa kuchukua point saba dhidi ya timu kubwa.
View attachment 1860728
Kwa ukinara wao. WAMECHUKUWA KOMBE?SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA