Ninja yuko USA na Zlatan ,Mkomola yuko Ukraine na Maka yuko Morocco..nyie vijana wenu wameenda Namungo na vitimu vingine vidogo..Manara hana jipya siku atakayoacha kuiongelea Yanga anakufa kifo cha mende
Katika wachaezaji wote hao .Yanga imeambulia shilingi ngapi?Ninja yuko USA na Zlatan ,Mkomola yuko Ukraine na Maka yuko Morocco..nyie vijana wenu wameenda Namungo na vitimu vingine vidogo..Manara hana jipya siku atakayoacha kuiongelea Yanga anakufa kifo cha mende
Unasema kama naniManara anatakiwa aondolewe kwenye alipo maana timu inahitaji mtu mwenye staha
simba ndio imepoteza mvuto baada ya kutolewa na UD SONGO, kwa taarifa yako sasa hivi Yanga inafuatiliwa zaidi na mashabiki wa simba kuliko wanavyoifuatilia timu yao ya simba , YANGA NI TIMU YA WANANCHI
Manara mwenyewe kaja kujitetea [emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji52]mikia aaaaa[emoji240][emoji240][emoji240]Unasema kama nani
Haikuhusu.Kaka unadhani pesa za kuwasajiri wote hao tuliosajiri umetoa wewe au?Katika wachaezaji wote hao .Yanga imeambulia shilingi ngapi?