Mkataba ukiisha hakuna haja ya Release letter. Walichokuwa wanataka Simba ni kufuata taratibu kwani Morrison kwa usumbufu wake angepewa yeye barua angewageuzia kibao kuwa wamevunja mkataba ndiyo maana Simba walitaka barua itoke kwa huyo mwajiri wake mpya,hii mbona ilikuwa jambo dogo tu ila kuna watu walilikuza ili kuichafua Simba. Unaikumbuka hii kiti?
watatoaje bila kuombwa mkuu, wapeleke barua ya kuomba release letter... Yaani simba atoe barua ya kumwacha mtu kabla ya mkataba haujaisha na hawajaombwa.. kwenye sheria hii kitu haipo simba atakua kavunja mkataba na atadaiwa hela tamu tuu na mwanasheria msomi BM3