Simanjiro tumedhulumiwa fedha za sensa.

Joined
Dec 27, 2012
Posts
17
Reaction score
3
Mimi ni nilikuwa karani wa sensa ya watu na makazi iliyofanyika2012.Napenda kueleza kwa masikitiko makubwa dhuluma tuyofanyiwa sisi makarani wa sensa katika mji mdogo wa Orkesumet-simanjiro ya sh.70,000/=tuliyopunjwa bila sababu hadi leo hatujalipwa
 
Pole sana karani mwenzangu, mie nimetoka nao ngoma droo, kuna madodoso sikuwarudishia waliponiyeyusha mshiko afu eti wanazindua takwimu...my foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…