sim ya LG kujilock. msaada

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
wataalam wa humu ndo breki. hiv sim ikijilock baada ya kukosea pattern unlock na ikakudai gmail usiyokumbuka unaifunguaje?
 
wataalam wa humu ndo breki. hiv sim ikijilock baada ya kukosea pattern unlock na ikakudai gmail usiyokumbuka unaifunguaje?

njia rahisi hapo ni kuingia recovery na kuwipe user data .
 
Njoo kariakoo0715378899,mambo yatakuwa safi kabisa na LG yako
 
Google hivi how to factory reset aina ya simu yako, utapata muafaka

Kumbuka simu itafuta kila kitu na kuwa kama ilivyotoka kiwandani
 
nashkur sana kwa ushauri. nimepeleka wakaiflash ingawa nilihitaji njia mbadala ya kufanya mwenyewe
 
nashkur sana kwa ushauri. nimepeleka wakaiflash ingawa nilihitaji njia mbadala ya kufanya mwenyewe

ilikua ni kazi ndogo tu ya sec 30 ungefanya mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…