Sim card inaandika acm exeeded msaada pls!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Ni cm aina ya tecno t 721 nikijarib kupiga line one inakata na kuleta ujumbe acm exeeded.
 
Tatizo ni hyo line yako haijasajiliwa, ukiweka ingne iko poa.
Nenda kasajil line tena ndug,usajl wa mwanzo ulikuwa kimeo
 
Kwel lain nyingne inakubali na wengne wanashauri hata uchakavu unachangia. Akhsante kwa kujali
 
Poa, c uchakavu kamanda! Ni usajl tena kama tgo ndo kabsa wamezuia kupga mpaka usajili.
 
Poa mkuu ntaifanyia mpango wa usajili tena hii line. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…