hahah mkuu hapo s ndio ujirekebishaKuna wageni, wana mambo ya kingese mkuu, hawana qaba, anaweza enda tangaza ya ndani kwa hadhira
Mfano. Zipo nyumba hazina heshima, wanaishi kama kambale, humjui baba yupi, mke yupi, mtoto yupi na beki tatu yupi wote wamevurugwa
hahahahaha sio kutisha, alikuwa anakupa taarifamambo gani ya ajabu mpka tutishiane kwa maneno
Hata zako zitakuwa zako. UsipanicAkili zako zitabaki kua zako
Kama kawa twende nao taritibuuuuu mzee babaMchezo auhtaji hasira